Você está na página 1de 1

Msanii wa bongo fleva asiyeisha vituko Shilole au Shishi Baby, ameijiwa

juu na mashabiki wake na kumtaka kuacha tabia ya kupenda wavulana


wadogo, huku wakimtuhumu kuwabemenda na kujidhalilisha.
Kwenye ukurasa wake wa instagram ambapo Shilole amepost picha akiwa
na mwenzi wake huyo mpya ambaye pia ni mwanamuziki Nedy Music,
mashabiki hao wamemtaka Shishi kuacha mara moja kwani
anawafundisha vibaya watoto wake ambao ni wakubwa.
ester_mbise : Mbona huo ni ubakaji sasa!! Kitoto kidogo sana hicho
unakibemenda!!! Yaaaaan bora hata Nuh kdg japo naye alikuwa katoto!!!
Daaaaaaaaah
janejoseph88.jj : acha kubeba watoto wadogo dada yangu hebu jiheshimu
japo kidogo fikria kuwa na ww pia unamtoto wa kike hata kama unahela
anifamwakalobo : Jmn kumbe ndo style yako unapenda vitoto haaaa wewe
mmama saiz zako huzioni mbona utamaliza kubemenda watoto wa
wenzio!!! Huyo kijana ilifaa atoke na mtoto wako ww uwe mamamkwe
daaa kweli hii dunia kuna watu na viatu ila wengine ni yeboyebo sasa,,,
umezidi unatuzalilisha wanawake wenzio hiv unafikili wazazi wa huyo
kijana watajiskiaje kwa mfano shilolekiuno???
lily_da_bae:This lil boy is being raped. This is so disgusting. Dating kids
who are almost same age as your own kids. Hm!! Im sure this kid is broke
n all he needs is $$$ but not true love. Look for a man if you want to be
truly loved, otherwise you will date more than 100 of these kidos.
Akimaanisha....... (huyu mvulana mdogo anabakwa, hii inachukiza, kuwa
na mahusiano na watoto ambao umri wao ni karibu sawa na watoto wako,
hm, nina uhakika huyu mtoto amefulia na vyote anavyotaka ni dola na si
mapenzi ya kweli. Tafuta mwanaume kama unataka kupendwa kweli,
vinginevyo utatoka na zaidi ya 100 ya hawa watoto).
Hayo yameandikwa na mashabiki hao wakimtaka Shilole kuacha hiyo
tabia ya kuwa na mahusiano na vijana wenye umri mdogo.
Hivi karibuni Shilole aliachana na mpenzi wake Nuh Mziwanda, ambaye
pia alikuwa mdogo kwake kiumri.

Você também pode gostar