Você está na página 1de 2

Mange Kimambi Afunguka tena....

"Jamani nimechokaaaaaaaaaaa kuulizwa kuhusu Wema


na hili njemba, sijui terrorist atajijua mwenyewe...
I don't know anything.And I don't want to know.... All I
can do is pray kuwa sio Kweli maana hapa Wema ndo
atakuwa kapoteaaaaaaaa.Janaume mishow off tu,
upuuzi mtupu! Yani jinga flani... .
Team Wema mmepanick Mpaka , listen hamuwezi
kumpangia Mtu Maisha yake Ana akili zake Yule!!!!!!
Mnaosema Wema hawezi kutulia sijui Malaya , Hana
umalaya wowote anaweza kutulia vizuri. Kila
mwanamke Ana Mtu wake wa kumtuliza. Nyie
wenyewe mlihangaika Na boyfriend wangapi kabla
hamjatulia Kwa waume zenu?
Hivi mmesahau enzi za CK, Wema Mbona Alitulia
Kama maji ya mtungini, she was private miaka watu
hawajui yuko Na Nani , media ilibidi ichokonoe Kweli
Kweli ku found out..Yani love life yake ilikuwa
private.Watu tulikuwa tu nashangaaa anakula bata
hatuelewi. That's how it should be. That means Wema
anaweza sana kutulia Na Mpaka tukamsahau... Enzi za
CK alikua business woman Hana drama wala nini ni
yeye Na kampuni yake...... Alivyo rudi tu Kudate vijana
wenzie , wasaniiiii wenzie balaaa likarudi pale pale...
.seriously nyie Kumbukeni tofauti ya Wema enzi za CK

na alivyo rudi Kwa Watoto wenzie. The difference is


huge!
Idris is a great guy I like him but he is too young
kumtuliza Wema. I wish them the best though .
Mwanaume wa kumfanya Wema atulie will be a
millionaire, mkubwa na Mtu very down low dizain za
Yule CK , Ila hawa watoto wenzie wa kumpa laki kwa
mwenzi watakimbizana kila siku.. Ukweli ndo huo.
Hamuoni kina Kyln walivyobadilika 360 degrees?
Ukiwa Na Mtu mwenye heshma zake na mihela yake
you become another person! Ila kumwita Malaya sijui
nini wala sio, sababu woooote tunajua anajua kutulia
vizuriiiii Mpaka tukamsahau yuko mjini! Sometimes
tuweni wakweli tu Jamani mwanaume ukiwa Na hela
utamtuliza hata Malaya wa Jollies, atavaa hata baibui.
Bila hela mwanaume utasumbuliwa tu.
Hili Dudu baya la Congo hamna kitu hapo! Wastage of
time ! Hana pesa yoyote! Na hata Kama ana pesa sio
mwanaume wa kutulia nae.Mashauzi ya kitoto tu!
Janaume halina Siri kuposti mipicha na caption za
kitoto' Mange Kimambi

Você também pode gostar