Você está na página 1de 2

TAARIFA YA UCHUNGUZI WA BIBI. WINFRIDA ROBERT NA BW. ZADOK AWINO.

UTANGULIZI.
Kazi hii ilifanyika siku ya tarehe 08/05/2012 katika kitongoji cha mabatini A kijiji cha Tairo
Kata ya Guta Tarafa ya Serengeti Wilaya ya Bunda kwa njia ya mahojiano na ujazaji wa fomu
hojaji.Hii ilikuwa ni baada ya kupokea fomu hojaji ya Bw. Jacob Oyange Robert kutoka katika
ofisi ya uhamiaji mkoa akiwa amemjaza Bibi Winfrida kama mama yake mzazi na Bw. Zadok
kama ndugu wa kuzaliwa pamoja na mama(mjomba).
Mahojiano yalifanywa kwa Bw. Zadok peke yake baada ya kupata taarifa kuwa Bibi. Winfrida
haishi kijijini hapo.
Mambo yaliyobainika ni kama ifuatavyo:

1. BIBI. WINFRIDA ROBERT


Ni mama mzazi wa Bw Jacob Oyange Robert.
Amezaliwa mwaka 1935 nchini Kenya kijiji cha Seme Kisumu na wazazi wote
wawili wakiwa ni wakenya.
Amehamia nchini Tanzania mwaka 1949 akiwa na wazazi wake wawili na kuishi
kijijini Tairo na baadae kuhamia Buhemba baada ya kuolewa na Bw Robert
Malasi.
Anaishi Buhemba kitongoji cha Tarani-Musoma vijijini.

NOTE: Taarifa hizi zimetolewa na Bw. Zadok Awino kwani mtajwa ni mdogo wake wa
kuzaliwa nae.

2. BW. ZADOK AWINO.


Ni ndugu wa kuzaliwa pamoja na Bibi.Winfrida Robert
Amezaliwa mwaka 1932 nchini Kenya kijiji cha Seme- Kisumu na wazazi wote
wawili wakiwa ni wakenya, Baba anaitwa Cilivan Awino, amefariki na alizikwa
Kenya kijiji cha Ogongo-Homabay.Mama pia amefariki na kuzikwa hukohuko.
Ameishi kijijini Tairo tangu mwaka 1949 alipohamia akiwa na wazazi wake
mpaka sasa.
Amefanya kazi mbalimbali, kubwa ikiwa uchungaji katika dhehebu la Anglikana.
Amesoma katika vyuo mbalimbali vya kidini hapa nchini.

NOTE: Taarifa zaidi zinapatikana kwenye fomu hojaji ya


imeambatanishwa na taarifa hii.

Bw. Zadok Awino ambayo

MAPENDEKEZO.
I.
II.

Bibi Winfrida ahojiwe ili kupata taarifa zaidi.


Bw. Zadok apewe utaratibu wa kufuata ili ahalalishe ukaazi wake hapa nchini pamoja na
familia yake kwani anaishi na mke wake Bibi Neleya Zadok ambae ni raia wa Kenya na
wana watoto takriban kumi(10) ambao wanaishi katika maeneo mbalimbali ya nchi
hii.Pendekezo hili ni kwa sababu Bw. Zadok hajawahi kwenda Kenya tangu alipohamia
Tanzania na hana mtu yeyote anayemfahamu huko kwa sasa wala sehemu yoyote ya
kuweza kuendeleza maisha yake.

Nawasilisha

MOSES J. MUTASH-MKAGUZI

Você também pode gostar