Você está na página 1de 2

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


IDARA YA UHAMIAJI
Anuani ya Simu:
NUKUSHI:

UHAMIAJI

OFISI YA UHAMIAJI (M)


S.L.P+255
369
SIMU:
282622426
MUSOMA

OFISI YA UHAMIAJI WILAYA


S.L.P 417

BUNDA
Wednesday, 29 April 2015

KUMB .BND/IMM/MOA/VOL.1/08/31

AFISA USALAMA WA TAIFA W,


S.L.P 163,
BUNDA.
YAH: WAGENI WALIORIPOTI OFISINI MWEZI APRILI 2015
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu
Katika kipindi cha mwezi Aprili 2015 Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Bunda haijapokea mgeni
yeyote.

A:WALIOKAMATWA NA KUACHIWA;

Hakuna mtu yeyote aliyekamatwa na kuachiwa.

B:WALIOKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI;

1.YOSEPH GETISO
2.TESHELE BEKELE
3.TEMESQUEN BIRNU
4.RABETU JAMEL
Watajwa hapo juu bado mashtaka yao yanaendelea.
C:WALIOFUKUZWA NCHINI KWA P.I. NAMBA ;

1.TEMESGEN BEKELE MENGISTU-RAIA WA ETHIOPIA


00036054

P. I. NAMBA-

2.OMER GULTA CHAMESO-RAIA WA ETHIOPIA P.I NAMBA-00036055

D:WALIORIPOTI WENYEWE;
Pia kwa mwezi huu hakuna waliokuja kuripoti wenyewe ofisini.

MWISHO
Kuna ongezeko kubwa la wahamiaji haramu hasa raia wa Ethiopia ambao huingia nchini
bila kibali. Wengine hupitia kwenda Afrika

ya Kusini wengine huishia nchini na

kujihusisha na uhalifu. Naomba ushirikiano na KUU ukizingatia kuwa kwa sasa maofisa
nilionao ni wageni na vijana sana na uhaba wa mafuta unanitesa.

Naomba kuwasilisha .
...................................
DCIS.ERL.Mushongi,
AFISA UHAMIAJI (W),
BUNDA.

Você também pode gostar