OFISI YA +255 282622426 S.L.P 369 KUMB .NA.BND/IMM/STK/30/26 MUSOMA SIMU:
Thursday, 20 June 2013
AFISA UHAMIAJI (M),
S.L.P 369, MUSOMA. YAH: LIKZO YA SIKU SABIINI (70) A.5810 S/SGT ADAM MGETA. Tafadhali husika na mada hapo juu. Mtajwa hapo juu ni Askari wa jeshi la Magereza ambaye aliazimwa kwa muda kufanya kazi katika Ofisi ya Uhamiaji (W) Bunda kama dereva wa gari No. STK.2559.Anaetegemea kuanza likizo yake tarehe 24/06/2013- 01/09/2013. Katika kipindi hiki cha mpito tumeomba kwa Mkuu wa Gereza la Bunda atupatie dereva No. B.2182- Coplo Adronis Kaijage aweze kutusaidia kuendesha gari hilo hadi A.5810 S/SGT Mgeta atakapomaliza likizo yake. Nawasilisha kwako kwa kumbukumbu zako muhimu.